Karne ya 3

Ulimwengu wa Kale mwanzoni mwa karne ya 3.
Ramani ya dunia mwaka 250.
Ulimwengu wa Kale mwishoni mwa karne ya 3.

Karne ya 3 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 201 na 300. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 201 na kuishia 31 Desemba 300. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".

Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya binadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne