Karoti

Karoti sokoni.

Karoti (kutoka neno la Kigiriki "karoton" kupitia Kiingereza "carrot") ni mzizi wa mkaroti (jina la kisayansi: Daucus carota) ulio na wingi wa vitamini A.

Inatumika kama mboga na kama dawa, iwe imepikwa au mbichi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne