Kastrese (alifariki Castel Volturno au Sessa Aurunca, leo katika wilaya ya Caserta, Italia, karne ya 5) alikuwa askofu wa Afrika Kaskazini ambaye alikimbia dhuluma za Wavandali Waario akahamia Italia Kusini[1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Februari[2].