Kaunti ya Bomet ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 875,689 katika eneo la km2 2,530.9, msongamano ukiwa hivyo wa watu 346 kwa kilometa mraba[1].
Makao makuu yako Bomet.