Kaunti ya Isiolo | |
---|---|
Kaunti | |
![]() Barabara kuu ya Marsabit-Isiolo | |
Kaulimbiu: "" | |
Isiolo County in Kenya.svg![]() Kaunti ya Isiolo katika Kenya | |
Nchi | ![]() |
Nambari | 11 |
Ilianzishwa | Tarehe 4 Machi, 2013 |
Ilitanguliwa na | Mkoa wa Mashariki |
Mji mkuu | Isiolo |
Miji mingine | Merti, Archers Post, Garba Tula |
Serikali | |
Gavana | Mohamed Kuti, EGH |
Naibu wa Gavana | Ibrahim Abdi Issa |
Seneta | Dullo Fatuma Adan |
Mwakilishi wa wanawake | Rehema Dida Jaldesa |
Bunge | Bunge la Kaunti ya Isiolo |
Maeneo bunge | |
Eneo | |
Jumla | km2 25 360.6 (sq mi 9 791.8) |
Idadi ya Watu | |
Jumla | 268,002 |
Msongamano | 11 |
Majira ya Saa | Saa za Afrika Mashariki (UTC+3) |
Tovuti isiolo.go.ke |
Kaunti ya Isiolo ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Imepakana na Kaunti za Marsabit, Samburu, Meru, Laikipia, Garissa, Tana River na Wajir. Mpaka wake na Kaunti ya Meru umekuwa na utata tangu kaunti zianzishwe[1].
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 268,002 katika eneo la km2 25,360.6, msongamano ukiwa hivyo wa watu 11 kwa kilometa mraba[2]..
Makao makuu yako Isiolo.