Kaunti ya Kajiado ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 1,117,840 katika eneo la km2 21,871.1, msongamano ukiwa hivyo wa watu 51 kwa kilometa mraba[1]. Makao makuu yako Kajiado.