Kaunti ya Nyandarua | |||||
---|---|---|---|---|---|
Kaunti | |||||
| |||||
Nyandarua County in Kenya.svg Kaunti ya Nyandarua katika Kenya | |||||
Nchi | Kenya | ||||
Namba | 18 | ||||
Ilianzishwa | Tarehe 4 Machi, 2013 | ||||
Ilitanguliwa na | Mkoa wa Kati | ||||
Makao Makuu | Ol Kalou | ||||
Miji mingine | Ol Joro Orok, Kipipiri | ||||
Gavana | Francis Thuita Kimemia,EGH, CBS, HSC | ||||
Naibu wa Gavana | Cecilia Wanjiru Mbuthia | ||||
Seneta | Paul Githiomi Mwangi | ||||
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa) | Faith Wairimu Gitau | ||||
Bunge la Kaunti | Bunge la Kaunti ya Nyandarua | ||||
Wawakilishi wa Bunge la Kaunti waliochaguliwa | 25 | ||||
Maeneo bunge/Kaunti ndogo | 5 | ||||
Eneo | km2 3 285.7 (sq mi 1 268.6) | ||||
Idadi ya watu | 638,289 | ||||
Wiani wa idadi ya watu | 194 | ||||
Kanda muda | Saa za Afrika Mashariki (UTC+3) | ||||
Tovuti | nyandarua.go.ke |
Kaunti ya Nyandarua ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 638,289 katika eneo la km2 3,285.7, msongamano ukiwa hivyo wa watu 194 kwa kilometa mraba[1].
Makao makuu ya Kanti ya Nyandarua yako kwenye mji wa Ol Kalou.