Kaunti ya Siaya ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 993,183 katika eneo la km2 2,529.8, msongamano ukiwa hivyo wa watu 393 kwa kilometa mraba[1].
Makao makuu yako Siaya.