Kaunti ya Wajir | |||
---|---|---|---|
Kaunti | |||
Uwanja wa ndege wa Wajir | |||
| |||
Kaulimbiu: "" | |||
Wajir County in Kenya.svg![]() Kaunti ya Wajir katika Kenya | |||
Coordinates: 1°44′50″N 40°04′08″E / 1.74722°N 40.0689°E | |||
Nchi | ![]() | ||
Nambari | 8 | ||
Ilianzishwa | Tarehe 4 Machi, 2013 | ||
Ilitanguliwa na | Mkoa wa Kaskazini Mashariki | ||
Mji mkuu | Wajir | ||
Miji mingine | Habaswein, Tarba | ||
Serikali | |||
Gavana | Balozi Mohamed Abdi Mahamud EGH | ||
Naibu wa Gavana | Ahmed Muktar Ali | ||
Seneta | Abdullahi Ibrahim Ali | ||
Mwakilishi wa wanawake | Fatuma Gedi Ali | ||
Bunge | Bunge la Kaunti ya Wajir | ||
Maeneo bunge | |||
Eneo | |||
Jumla | km2 56 773.1 (sq mi 21 920.2) | ||
Idadi ya Watu | |||
Jumla | 781,263[1]. | ||
Msongamano | 14 | ||
Majira ya Saa | Saa za Afrika Mashariki (UTC+3) | ||
Tovuti wajir.go.ke |
Kaunti ya Wajir ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 781,263 katika eneo la km2 56,773.1, msongamano ukiwa hivyo wa watu 14 kwa kilometa mraba[2]..
Makao makuu yako Wajir.