Kentucky | |||
| |||
Nchi | ![]() |
||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Frankfort | ||
Eneo | |||
- Jumla | 104,659 km² | ||
- Kavu | 102,896 km² | ||
- Maji | 1,763 km² | ||
Tovuti: http://www.kentucky.gov/ |
Kentucky ni jimbo (commonwealth) la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu ni Frankfort.
Miji muhimu baada ya Frankfort ni Louisville, Lexington, Paducah, Pikeville na Ashland.
Kiingereza ni lugha rasmi.
Imepakana na Illinois, Indiana, Ohio, West Virginia (Virginia Magharibi), North Carolina (Carolina Kaskazini), Tennessee na Missouri.
Jimbo lina wakazi wapatao 4,269,245 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 104,659.