Kiabé ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Waabé. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kiabé imehesabiwa kuwa watu 170,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiabé iko katika kundi la Kikwa.
Developed by Nelliwinne