Kiagariya ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Waagariya. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiagariya imehesabiwa kuwa watu 72,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiagariya iko katika kundi la Kimunda.
Developed by Nelliwinne