Kiagta ya Dicamay ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waagta. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kiagta ya Dicamay, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiagta ya Dicamay iko katika kundi la Kifilipino.