Kiaja (Sudan)

Kiaja ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Waaja. Isichanganywe na lugha ya Kiaja nchini Benin na Togo. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiaja imehesabiwa kuwa watu 200 tu. Kwa hiyo lugha ya Kiaja imekaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaja iko katika kundi la Kikresh.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne