Kialangan

Kialangan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waalangan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kialangan imehesabiwa kuwa watu 7690. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kialangan iko katika kundi la Kifilipino.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne