Kialege

Kialege ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waalege. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kialege imehesabiwa kuwa watu 1200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kialege iko katika kundi la Cross River.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne