Kialekano ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waalekano. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kialekano imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kialekano iko katika kundi la Kigorokan.