Kiambo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waambo. Idadi ya wasemaji wa Kiambo imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiambo iko katika kundi la Kitivoidi linalofanana na lugha za Kibantu.