Kiambrym-Kusini-Mashariki

Kiambrym-Kusini-Mashariki ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Waambrym kwenye kisiwa cha Ambrym. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiambrym-Kusini-Mashariki imehesabiwa kuwa watu 3700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiambrym-Kusini-Mashariki iko katika kundi la Kioseaniki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne