Kiamo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waamo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiamo imehesabiwa kuwa watu 12,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiamo iko katika kundi la Kikainji.
Developed by Nelliwinne