Kianfillo ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Waanfillo. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kianfillo imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kianfillo iko katika kundi la Kiomotiki.
Developed by Nelliwinne