Kiangor

Kiangor ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waangor. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kiangor imehesabiwa kuwa watu 1270. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiangor iko katika kundi la Kisenagi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne