Kiansus

Kiansus ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waansus kwenye visiwa vya Serui na Miosnum. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kiansus imehesabiwa kuwa watu 4600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiansus iko katika kundi la Kiyapen.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne