Kiapatani

Kiapatani ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Waapatani. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiapatani imehesabiwa kuwa watu 28,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiapatani iko katika kundi la Kitani.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne