Kiaranda cha Kusini Chini ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waaranda katika jimbo la South Australia karibu na mji wa Alice Springs. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiaranda cha Kusini Chini ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaranda cha Kusini Chini kiko katika kundi la Kiarandiki.