Kiare

Kiare ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waare. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kiare imehesabiwa kuwa watu 1230. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiare iko katika kundi la Kioseaniki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne