Kiaringa ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Uganda inayozungumzwa na Waaringa. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiaringa imehesabiwa kuwa watu 589,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaringa iko katika kundi la Kimoru-Madi.
Developed by Nelliwinne