Kiaruop ni lugha ya Kitorricelli nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waaruop. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiaruop imehesabiwa kuwa watu 700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaruop iko katika kundi la Kipalei.
Developed by Nelliwinne