Kiaskopan

Kiaskopan ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waaskopan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kiaskopan imehesabiwa kuwa watu 1200. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiaskopan iko katika kundi la “North Bougainville”.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne