Kiatta cha Pudtol

Kiatta ya Pudtol ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waatta. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiatta ya Pudtol imehesabiwa kuwa watu 710. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiatta ya Pudtol iko katika kundi la Kifilipino.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne