Kiawyi

Kiawyi ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waawyi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiawyi imehesabiwa kuwa watu 350, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiawyi iko katika kundi la Kitaikat.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne