Kiayere

Kiayere ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waayere. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kiayere imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiayere iko katika kundi la Kidefoidi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne