Kiayta cha Mag-antsi

Kiayta ya Mag-antsi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waayta. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kiayta ya Mag-antsi imehesabiwa kuwa watu 8200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiayta ya Mag-antsi iko katika kundi la Kifilipino.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne