Kibaham ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabaham. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kibaham imehesabiwa kuwa watu 1100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibaham iko katika kundi la Kibomberai-Magharibi.