Kibaibai ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wabaibai. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibaibai imehesabiwa kuwa watu 340. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibaibai iko katika kundi la Kifas.
Developed by Nelliwinne