Kibajau cha Pwani Magharibi

Kibajau ya Pwani Magharibi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wabajau. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibajau ya Pwani Magharibi imehesabiwa kuwa watu 55,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibajau ya Pwani Magharibi iko katika kundi la Kibarito.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne