Kibakwe (lugha)

Kibakwé ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wabakwé. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kibakwé imehesabiwa kuwa watu 10,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibakwé iko katika kundi la Kikru.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne