Kibamwe ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabamwe. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kibamwe imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibamwe iko katika kundi la C40.