Kibangolan

Kibangolan ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabangolan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibangolan imehesabiwa kuwa watu 13,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibangolan iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne