Kibankagooma

Kibankagooma ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Mali inayozungumzwa na Wabankagooma. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kibankagooma imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibankagooma iko katika kundi la Kimande.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne