Kibarein

Kibarein ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wabarein. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kibarein imehesabiwa kuwa watu 4100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibarein iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne