Kibariji

Kibariji (pia Kiaga-Bereho) ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wabariji. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibariji imehesabiwa kuwa watu 460. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibariji iko katika kundi la Kiyareban.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne