Kibarok ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wabarok. Mwaka wa 1985 idadi ya wasemaji wa Kibarok imehesabiwa kuwa watu 2120. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibarok iko katika kundi la Kioseaniki.
Developed by Nelliwinne