Kibayot

Kibayot ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal na Guinea-Bisau inayozungumzwa na Wabayot. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kibayot nchini Senegal imehesabiwa kuwa watu 16,100. Pia kuna wasemaji 2190 nchini guinea-Bisau. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibayot iko katika kundi la Kiatlantiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne