Kibehoa

Kibehoa (pia Kiako) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabehoa kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kibehoa imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibehoa iko katika kundi la Kicelebiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne