Kibete-Bendi

Kibete-Bendi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabete-Bendi. Mwaka wa 1963 idadi ya wasemaji wa Kibete-Bendi imehesabiwa kuwa watu 36,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibete-Bendi iko katika kundi la Cross River.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne