Kibharia ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wabharia. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kibharia imehesabiwa kuwa watu 197,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibharia haijaainishwa. Wataalamu wengine hudai kuwa Kibharia ni lugha ya Kihindi-Kiulaya.