Kibiak

Kibiak ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabiak kwenye visiwa vya Biak, Numfor na Mapia. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibiak imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibiak iko katika kundi la Kibiakiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne