Kibidayuh-Tringgus-Sembaan

Kibidayuh ya Tringgus-Sembaan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wabidayuh. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kitringgus-Sembaan imehesabiwa kuwa watu 850 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitringgus-Sembaan iko katika kundi la Kiland-Dayak.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne