Kibikol cha Rinconada

Kibikol ya Rinconada ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wabikol. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibikol ya Rinconada imehesabiwa kuwa watu 234,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibikol ya Rinconada iko katika kundi la Kifilipino.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne